Yanga - Local

Aziz Ki aongeza mzuka Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Oct 2024
Aziz Ki aongeza mzuka Yanga

Jana Yanga imeendelea na mazoezi Avic Town kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba utakaopigwa Jumamosi, Oktoba 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Kikosi cha Yanga kimeimarika zaidi kuanzia baada ya wachezaji waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa kuripoti

Stephane Aziz Ki, Prince Dube na Duke Abuya walishiriki mazoezi sambamba na wachezaji wengine ambao waliendelea na mazoezi katika kipindi chote ambacho wenzao walikuwa timu za Taifa

Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema wachezaji wengine ambao walikamilisha majukumu ya tiimu za Tafa juzi Jumanne, wanatarajiwa kuripoti leo

Harrison amesema ari na morali ya wachezaji wao iko juu na wanajiandaa kushinda mchezo huo

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’