Minziro akabidhiwa Pamba Jiji

Joel JJ By Joel JJ β€’ 17th October 2024


Minziro akabidhiwa Pamba Jiji

Klabu ya Pamba Jiji imemtangaza Kocha Fred Felix Minziro kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo

Minziro amechukua mikoba iliyoachwa na Goran Kopunovic aliyefutwa kazi na klabu hiyo baada ya kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Yanga


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.