Collina apewa tuzo Ufaransa

Joel JJ By Joel JJ β€’ 20th October 2024

Collina apewa tuzo Ufaransa

Chama cha soka nchini Ufaransa kimemchagua mwamuzi nguli Pierluigi Collina miaka 64 kuwa mwamuzi bora wa muda wote katika historia ya mpira wa miguu

Kwa sasa mzee Colinna ni Mwenyekiti wa bodi ya waamuzi kwenye Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA

Collina alizaliwa Bologna na kusomea Chuo Kikuu cha Bologna, na kuhitimu shahada ya uchumi mwaka 1984

Katika miaka yake ya..... download Xtra 90 App

More Stories

Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Today, READ MORE β†’
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Today, READ MORE β†’
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Today, READ MORE β†’
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Yesterday, READ MORE β†’
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Yesterday, READ MORE β†’
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
Yesterday, READ MORE β†’
Yanga Yaifunga Magereza Dar Es Salaam 7-2 Mechi ya Kirafiki
Yanga Yaifunga Magereza Dar Es Salaam 7-2 Mechi ya Kirafiki
Yesterday, READ MORE β†’
Fei Toto ajumuishwa kikosi cha Azam Fc pre-season Rwanda
Fei Toto ajumuishwa kikosi cha Azam Fc pre-season Rwanda
Yesterday, READ MORE β†’
Ngao ya Jamii 2026 Kupigwa Amaan Complex Zanzibar
Ngao ya Jamii 2026 Kupigwa Amaan Complex Zanzibar
Yesterday, READ MORE β†’
Barcelona wafunguliwa mashtaka ya kinidhamu na Atletico Madrid kumhusu Julian Alvarez.
Barcelona wafunguliwa mashtaka ya kinidhamu na Atletico Madrid kumhusu Julian Alvarez.
Yesterday, READ MORE β†’