Simba - Local - Prisons

Simba kujiuliza kwa Tanzania Prisons

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Oct 2024
Simba kujiuliza kwa Tanzania Prisons

Baada ya kupoteza mchezo wa ligi kuu dhidi ya watani zao Yanga, kikosi cha Simba kimetua mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa uwanja wa Sokoine kesho Jumanne

Ni mchezo mwingine mgumu kwa Wekundu hao wa Msimbazi mbele ya Prisons ambayo imetoka kupoteza mchezo dhidi ya Azam Fc

Prisons wameanza msimu kwa kusuasua wakishika nafasi ya 12 katika msimamo wa ligi wakikusanya alama 7 wakati Simba iko nafasi ya nne ikiwa na alama 13

Simba imepata alama 1 kutoka mechi mbili zilizopita hivyo watautizama mchezo huu kwa umuhimu ili kurejea katika ari ya ushindi

Wakati Simba wakikabiliana na Prisons, watani zao Yanga ambao wamebaki timu pekee ambayo haijaruhusu bao msimu huu, watakuwa Azam Complex kuikabili JKT Tanzania

Singida BS imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi, jana ikifikisha alama 19 baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo Fc

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’