Local,Normal News,Simba, Azam, Yanga

Shime atangaza kikosi cha CHAN

Joel JJ By Joel JJ
β€’
22 Oct 2024
Shime atangaza kikosi cha CHAN

Kocha Bakari Shime, atakiongoza kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ya wachezaji wa Ligi ya ndani katika michuano ya CHAN

Shime ametangaza kikosi chake kwa ajili ya mchezo wa kwanza dhidi ya Sudan ambao unatarajiwa kuchezwa Oktoba 27, 2024 nchini Mauritania

Shime amesema, ameita wachezaji wengi kutoka timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 'Ngorongoro Heroes' ilikuendelea kuwapa uzoefu lakini vilevile kuhakikisha Ligi haitosimama kwa sababu baadhi ya klabu kuwakosa wachezaji wake muhimu

"Tumeita kikosi cha Taifa cha wachezaji wa ndani tukiwa na malengo kuwa ligi yetu lazima iendelee hivyo tumeita wachezaji ambao hawatafanya ligi isimame lakini pia kupata matokeo mazuri katika mchezo wetu wa kwanza ambao tutacheza dhidi ya Sudan kule nchini Mauritania," alisema

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
3h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
6h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
7h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
7h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
8h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
9h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
10h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
10h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’