Kiungo wa zamani wa Arsenal na timu ya Taifa ya Uingereza, Jack Wilshere ameacha nafasi yake kama kocha mkuu wa kikosi cha U18 cha Arsenal na kujiunga na Norwich City katika nafasi ya ukocha wa kikosi cha kwanza
Wilshere, 32, alirejea katika klabu yake ya zamani mnamo Julai 2022 kama kocha mkuu wa Vijana wa U18 wa Arsenal na kuwaongoza hadi fainali ya Kombe la FA kwa Vijana, ambapo..... download Xtra 90 App



