Nyota wa Real Madrid ya Hispania Vinicius Junior usiku wa juzi aliushangaza ulimwengu wa soka baada ya kuonyesha kiwango bora kwenye mchezo wa ligi ya Mabingwa barani Ulaya dhidi ya Borrusia Dortmund uwanja wa Santiago Bernabeu
..... download Xtra 90 App



