International,Normal News,Ahly, Zamalek

Al Ahly yabeba Super Cup Misri

Joel JJ By Joel JJ
β€’
25 Oct 2024
Al Ahly yabeba Super Cup Misri

Ahly wamefanikiwa kutwaa taji lao la 15 la Kombe la Super Cup la Misri siku ya Alhamisi, kwa kuwashinda wapinzani wao Zamalek kwa penalti 7-6 kufuatia sare tasa katika muda wa kawaida mjini Abu Dhabi

Nahodha na kipa Mohamed El Shenawy alikuwa shujaa wa Ahly, akiokoa penalti mbili na kuhitimisha ushindi huo katika mikwaju mikali

Mashetani Wekundu walilipiza kisasi cha kushindwa kwao na Zamalek katika Kombe la Super Cup la Afrika wiki nne tu kabla, walipochapwa kwa mikwaju ya penalti na majirani zao wa Cairo

Hata hivyo, mechi hiyo ilichezwa chini ya wingu la mabishano, huku wachezaji watatu wa timu ya Zamalek wakiwekwa kizuizini Abu Dhabi siku chache kabla ya mchezo huo

Hiyo ni mara ya nne mfululizo Al Ahly wanatwaa taji hilo

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
2m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
31m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’