Mkufunzi wa Fenerbahce Jose Mourinho alitolewa kwa kadi nyekundu wakati timu nyake ikitoka nyuma na kulazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya klabu yake ya zamani Manchester United katika mchezo wa ligi ya Europa
Kwa Manchester United, hiyo ilikuwa ni sare ya tatu mfululizo katika michuano hiyo
United walikuwa wameongoza kipindi cha mapumziko kupitia bao la nne la Christian Eriksen msimu..... download Xtra 90 App



