Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ameitaka Bodi ya Ligi kuzingatia afya za wachezaji inapoandaa ratiba ya mechi za ligi kuu ya NBC
Gamondi ametoa malalamiko hayo wakati akizungumza katika Mkutano na Wanahabari kuelekea mchezo wa ligi kuu kati ya Coastal Union dhidi ya Yanga utakaopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Jumamosi Oktoba 26
Gamondi amesema hawana muda wa kufanya maandalizi..... download Xtra 90 App



