Real Madrid yapigwa 4G na Barca

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Oct 2024
Real Madrid yapigwa 4G na Barca

Robert Lewandowski alifunga mabao mawili katika dakika tatu za kipindi cha pili na kuifanya Barcelona kuibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya Real Madrid kwenye El Clasico

Lamine Yamal na Raphinha pia walifunga na kuongeza huzuni zaidi kwa Madrid ambao waliadhibiwa wakiwa katika jitihada za kusaka mabao ya kusawazisha

Los Blancos waliingia El Classico wakiwa na mfululizo wa michezo 42 ya La Liga bila kupoteza na mmoja pekee kutoka kwa rekodi ya Barcelona

Kikosi cha Carlo Ancelotti kingeweza kuwa mbele kabla ya mapumziko lakini Kylian Mbappe alijikuta ameotea mara sita

Uzoefu wa Lewandowski mwenye umri wa miaka 36 uliibeba Barcelona katika kipindi cha pili akivunja mtego wa kuotea na kufunga bao la kuongoza dakika ya 54 na kisha akafunga bao la kichwa dakika tatu baadaye

Lewandowski alipaswa kuwa katili zaidi mbele ya lango kwani alipoteza nafasi nyingine mbili

Lakini mabao ya Lamine Yamal na Rafinha yalitosh kuihakikishia Barcelona ushindi huo muhimu Santiago Bernebeu na kumaliza mechi 42 za Real Madrid kutopoteza mchezo kwenye La Liga

ADVERTISE HERE

More Stories

De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
5h ago
READ MORE β†’
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
7h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
7h ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
8h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
9h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
10h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
12h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
14h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
15h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
15h ago
READ MORE β†’