Robert Lewandowski alifunga mabao mawili katika dakika tatu za kipindi cha pili na kuifanya Barcelona kuibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya Real Madrid kwenye El Clasico
Lamine Yamal na Raphinha pia walifunga na kuongeza huzuni zaidi kwa Madrid ambao waliadhibiwa wakiwa katika jitihada za kusaka mabao ya kusawazisha
Los Blancos waliingia El Classico wakiwa na mfululizo wa michezo 42 ya..... download Xtra 90 App



