Local,Normal News,Simba, Ahli

Vurugu za mashabiki zaiponza Al Ahli Tripoli

Joel JJ By Joel JJ
27 Oct 2024
Vurugu za mashabiki zaiponza Al Ahli Tripoli

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeipata na hatia klabu ya Al Ahli Tripoli baada ya mashabiki wake kuwafanyia vurugu wachezaji na maafisa wa Simbaa katika mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania kufuzu hatua ya makundi kombe la Shirikisho

Al Ahli Tripoli wamezuiwa kuingiza mashabiki katika mechi zao mbili za michuano ya CAF

Klabu hiyo pia imeipigwa faini ya kiasi ya dola 20,000 sawa na takribani Tsh. 55 millioni kutokana na vurugu zilizojitokeza uwanjani kwenye mchezo huo uliopigwa jijini Tripoli Septemba 15 na kumalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana

Simba ilifanikiwa kutinga makundi baada ya ushindi wa mabao 3-1 katika mchezo wa marudiano uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Septemba 22

More Stories

Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
4h ago
READ MORE →
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
5h ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
7h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
7h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
8h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
8h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
9h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
9h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
9h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
11h ago
READ MORE →