Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeipata na hatia klabu ya Al Ahli Tripoli baada ya mashabiki wake kuwafanyia vurugu wachezaji na maafisa wa Simbaa katika mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania kufuzu hatua ya makundi kombe la Shirikisho
Al Ahli Tripoli wamezuiwa kuingiza mashabiki katika mechi zao mbili za michuano ya CAF
Klabu hiyo pia imeipigwa faini ya kiasi ya dola 20,000..... download Xtra 90 App



