Local,Normal News,Singida, Yanga

Aussems anautaka ubingwa msimu huu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Oct 2024
Aussems anautaka ubingwa msimu huu

Vinara wa ligi kuu ya NBC Singida Black Stars tayari wako visiwani Zanzibar kuelekea mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumatano, Oktoba 30 katika uwanja wa New Amaan Complex

Kocha Mkuu wa timu hiyo Patrick Aussems amesema msimu huu wamedhamiria kufanya mabadiliko kwenye nafasi ya juu katika msimamo wa ligi

Juzi Singida BS iliichapa Fountain Gate mabao 2-0 na kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi wkifikisha alama 22 alama moja mbele ya wapinzani wao Yanga

Huo ulikuwa ushindi wa 7 katika mechi 8 walizocheza mpaka sasa msimu huu

"Mwanzo mzuri kwenye ligi ni kielelezo tosha kuwa tunataka kufanya mabadiliko kwenye nafasi ya juu msimu huu"

"Tumeongoza ligi kwa kipindi kirefu, nia yetu ni kukaa pale mpaka mwisho ingawa si rahisi, lakini tunataka kule juu kuwe na mabadiliko," alisema

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’