Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ameulalamikia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha, akisema hauko kwenye ubora, huku akisema viwanja vitatu tu vinavyobeba taswira ya soka la Tanzania ni ule wa Benjamin Mkapa, Azam Complex, ambavyo vyote vipo, Dar es Salaam na New Amaan Complex, Zanzibar
Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya timu yake na..... download Xtra 90 App



