International,Normal News,Chelsea, Arsenal

Palmer bado - Petit

Joel JJ By Joel JJ
β€’
28 Oct 2024
Palmer bado - Petit

Nyota wa zamani wa Chelsea, Emmanuel Petit, amesema Cole Palmer bado hajafikia kwenye ubora wa viwango vya dunia licha ya kufanya vizuri katika kikosi cha The Blues kwa kipindi cha miezi 12

Petit, ambaye alichezea Chelsea mara 76 kati ya 2001 na 2004 chini ya kocha Claudio Ranieri na alikuwa pia kwenye kikosi cha Arsenal ya Arsene Wenger iliyoshinda ubingwa wa Ligi Kuu England msimu wa 1997/98, amekuwa akiifuatilia sana timu yake ya zamani, The Blues

Petit anaamini vyombo vya habari huko Uingereza vinampamba zaidi Palmer kuliko uhalisia wa ubora wake

"Anavyovumishwa Cole inaendena na kiwango chake?” alihoji Petit na kuendelea. Hapana, sidhani"

"Palmer alikuwa na msimu mzuri ule uliopita, lakini huu ameanza kwa kasi hafifu hadi hapo Septemba alipoonyesha uhai"

"Vyombo vya habari vimekuwa vikipiga kelele nyingi kuhusu vipaji vichanga vya wachezaji. Palmer ni mchezaji mzuri sana, lakini bado hajafikia viwango vya kuwa mchezaji wa dunia"

"Ameonyesha ubunifu wa kutosha, lakini bado hajafika kuwa wa kiwango cha dunia kwa sasa," alisema

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
3h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
3h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
4h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
5h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
5h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
6h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
7h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
21h ago
READ MORE β†’