International,Normal News,Manchester United, Local

Ten Hag afutwa kazi Manchester United

Joel JJ By Joel JJ
β€’
28 Oct 2024
Ten Hag afutwa kazi Manchester United

Manchester United wametangaza kwamba hatimaye wameachana na Meneja wao Erik ten Hag baada ya kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa West Ham jana

Ten Hag anaondoka huku akiwaacha mashetani Wekundu wakishuka hadi nafasi ya 14 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza

Katika taarifa rasmi, United ilithibitisha kuondoka kwa Ten Hag na kwamba Ruud van Nistelrooy atachukua mikoba ya muda pamoja na timu ya sasa ya makocha hadi mrithi wa kudumu atakapoteuliwa

"Erik ten Hag ameacha nafasi yake kama Meneja wa kikosi cha kwanza cha Manchester United," klabu hiyo ilisema

Erik aliteuliwa Aprili 2022 na kuiongoza klabu hiyo kutwaa mataji mawili ya nyumbani, akishinda Kombe la Carabao mnamo 2023 na Kombe la FA mnamo 2024

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
45m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’