Local,Normal News,Fountain, Mashujaa

Fountain Gate yanusurika kichapo nyumbani

Joel JJ By Joel JJ
β€’
28 Oct 2024
Fountain Gate yanusurika kichapo nyumbani

Bao la dakika za lala salama lililofungwa na Salum Kihimbwa limeinusuru Fountain Gate kukubali katika uwanja wake wa nyumbani huko Manyara baada ya kulazimisha sare ya mabao 2-2 dhidi ya Mashujaa Fc

Kwa upande mwingine Mashujaa Fc watajilaumu kwa kukosa ushindi katika mchezo huo ambao walitangulia mbela kwa mabao mawili

Seif Karihe aliifungia bao la kwanza Mashujaa Fc mapema tu dakika 15 na Hassan Ali akaongeza la pili dakika ya 28 na kuipa Mashujaa uongozi wa mabao 2-0 ambao ulidumu hadi dakika ya 34 pale Nicholas Gyan alipoifungia Fountain Gate bao la kwanza

Timu hizo ziliendelea kushambuliana kwa zamu Fountain Gate wakionekana kufanya majaribio mengi zaidi na hatimaye walifanikiwa kusawazisha dakika za lala salama na kufanikiwa kuondoka na alama moja

Fountain Gate wanaendelea kusalia nafasi ya tano wakiwa na alama 17 wakati Mashujaa wakiwa nafasi ya sita na alama 13

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’