International,Normal News,Real Madrid, Brazil

Vini Jr atuma ujumbe mzito baada ya kukosa Ballon d Or

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 Oct 2024
Vini Jr atuma ujumbe mzito baada ya kukosa Ballon d Or

Mshambulizi nyota wa Brazil Vinicius Junior ametuma ujumbe mzito kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupoteza tuzo ya Ballon d'Or 2024 kutoka kwa Rodri wa Uhispania

"Nitafanya mara 10 zaidi ikibidi. Hawako tayari," Vinicius aliandika dakika chache baada ya Rodri kupokea Ballon d'Or 2024 Jumatatu usiku huko Paris

Kulingana na beIN Sports, ujumbe wa Vinicius unamaanisha kwamba atajitahidi zaidi kushinda Ballon d'Or siku zijazo kwa sababu aliamini alistahili kushinda mwaka huu lakini hakutunukiwa

Saa chache kabla ya hafla ya utoaji tuzo Jumatatu, orodha ilienea kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha msimamo wa mwisho wa wachezaji 30 walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d'Or, Vini akiwa kileleni na Rodri wa pili

Lakini saa chache baadaye, vyombo vya habari vya Uhispania viliripoti kwamba klabu ya Real Madrid haitakuwa na uwakilishi katika tuzo hizo baada ya kupata taarifa Vini Jr hatashinda

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’