Mshambulizi nyota wa Brazil Vinicius Junior ametuma ujumbe mzito kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupoteza tuzo ya Ballon d'Or 2024 kutoka kwa Rodri wa Uhispania
"Nitafanya mara 10 zaidi ikibidi. Hawako tayari," Vinicius aliandika dakika chache baada ya Rodri kupokea Ballon d'Or 2024 Jumatatu usiku huko Paris
Kulingana na beIN Sports, ujumbe wa Vinicius unamaanisha..... download Xtra 90 App



