Msafara wa kikosi cha Yanga umeondoka jijini Dar es salaam mapema leo kuelekea Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida Black Stars ambao utapigwa kesho Jumatano, Oktoba 30 katika uwanja wa New Amaan Complex
Wakati Yanga wakielekea Zanzibar leo, wapinzani wao Singida BS wako Zanzibar tangu juzi wakiendelea na maandalizi ya mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa..... download Xtra 90 App



