Kwa mujibu wa Fabricio Romano, Manchester United ipo mbioni kulipa paundi milioni 10 kumng'oa Ruben Amorim kocha wa Sporting Lisbon kuwa meneja mpya, kama klabu ya Sporting ilivyothibitisha
Manchester United imearifu Sporting kuhusu mpango wao wa kulipa kiasi cha paundi milioni 10 kwa kuwa Amorim tayari amekubali kujiunga na Mashetani wekundu





