Kocha Mpya Manchester United ni huyu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 Oct 2024
Kocha Mpya Manchester United ni huyu

Kwa mujibu wa Fabricio Romano, Manchester United ipo mbioni kulipa paundi milioni 10 kumng'oa Ruben Amorim kocha wa Sporting Lisbon kuwa meneja mpya, kama klabu ya Sporting ilivyothibitisha

Manchester United imearifu Sporting kuhusu mpango wao wa kulipa kiasi cha paundi milioni 10 kwa kuwa Amorim tayari amekubali kujiunga na Mashetani wekundu

Amorim tayari amekubali pendekezo la Man Utd baada ya mawasiliano chanya kuhusu uhamisho huu kufanyika wiki hii

Ni rasmi sasa Mreno huyo anatua Old Trafford kubeba mikoba iliyoachwa na Erik ten Hag na ataendelea kusaidiwa n mkongwe Ruud van Nestlrooy ambaye alitangazwa kuwa kocha wa muda baada ten Hag kufurushwa

ADVERTISE HERE

More Stories

De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
9h ago
READ MORE β†’
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
11h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
11h ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
12h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
12h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
13h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
16h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
18h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
19h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
19h ago
READ MORE β†’