Mechi sita za michuano ya Kombe la Carabao huko England zinapigwa leo katika viwanja tofauti
Brighton inaialika bingwa mtetezi Liverpool katika uwanja wa The American Express Community huku Crystal Palace ikiwa mgeni wa Aston Villa katika uwanja wa Villa Park
Manchester United ambayo imemtimua Erik Ten Hag hivi karibuni ni mwenyeji wa Leicester City katika uwanja wa Old..... download Xtra 90 App



