International,Normal News,Aston Villa, Crystal Palace, Tottenham, Brighton, Manchester City, Arsenal

Raundi ya 4 Carabao Cup leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
30 Oct 2024
Raundi ya 4 Carabao Cup leo

Mechi sita za michuano ya Kombe la Carabao huko England zinapigwa leo katika viwanja tofauti

Brighton inaialika bingwa mtetezi Liverpool katika uwanja wa The American Express Community huku Crystal Palace ikiwa mgeni wa Aston Villa katika uwanja wa Villa Park

Manchester United ambayo imemtimua Erik Ten Hag hivi karibuni ni mwenyeji wa Leicester City katika uwanja wa Old Trafford

Mchezo mwingine unaosubiriwa kwa hamu ni kati ya Tottenham Hotspur na Manchester City kwenye uwanja wa Tottenham Hotspur

Arsenal itakuwa ugenini kuivaa Preston North End kwenye uwanja wa Deepdale wakati Newcastle United ni mwenyeji wa Chelsea katika uwanja wa St James' Park

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’