International,Normal News,Milan, Napoli

Morata ajivunia ubora AC Milan licha ya kichapo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
30 Oct 2024
Morata ajivunia ubora AC Milan licha ya kichapo

Nyota wa Hispania Alvaro Morata amesisitiza kuwa AC Milan inaweza kujivunia kiwango chao licha ya kupoteza mchezo wa Serie A dhidi ya Napoli Jumanne usiku

Romelu Lukaku na Khvicha Kvaratskhelia walifunga mabao ya Napoli ikishinda 2-0 kwenye Uwanja wa San Siro 

Mshambuliaji huyo wa Milan Morata alizungumza baada ya mchezo huo uliorushwa mbashara na Azam TV

"Kandanda ni kama hii, tunapaswa kuwa chanya. Tulikuwa na wakati mzuri dhidi ya timu ya juu kwenye ligi. Lakini lazima tukubali"

"Tulicheza mchezo mzuri tukiwapa wakati mgumu wapinzani wetu. Wamezoea kupata nafasi nyingi zaidi, lakini leo wamepiga mashuti mawili na kufunga mabao mawili"

"Tutarudi tukiwa imara zaidi ili tuweze kushinda mechi zinazofuata.  Ninajivunia sana uchezaji wa kila mtu, tulionyesha nguvu na hamu ya kushinda. Tuliruhusu mabao mawili kwa makosa madogo," alisema

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’