Local,Normal News,Mashujaa, Simba

Mashujaa watangaza viingilio mechi dhidi ya Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
31 Oct 2024
Mashujaa watangaza viingilio mechi dhidi ya Simba

Ijumaa, Novemba 01 Mashujaa Fc itakuwa mwenyeji wa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc ambao utapigwa uwanja wa Lake Tanganyika, saa 10 jioni

Mashujaa wametanga viingilio vya mchezo huo jana ambapo tiketi za VIP ni Tsh 30,000/-, majukwaa mengine ni Tsh 10,000/- na wale wa kusimama watalipa kiingilio cha Tsh 5,000/-

Simba iliondoka jijini Dar es salaam mapema leo, ikitarajiwa kutua Kigoma Alhamisi mchana

Kikosi cha kocha Fadlu Davids jioni kitapata nafasi ya kufanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Lake Tanganyika

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
38m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
51m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’