International,Normal News,Manchester City

Guardiola alia na majeruhi Man City

Joel JJ By Joel JJ
β€’
31 Oct 2024
Guardiola alia na majeruhi Man City

Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola amesema wako matatani baada ya kupata majeraha zaidi walipochapwa 2-1 na Tottenham kwenye Kombe la Carabao na kuwaacha na wachezaji 13 pekee wa kikosi cha kwanza

Tayari bila Kyle Walker, Rodri, Oscar Bobb, Jeremy Doku, Kevin De Bruyne na Jack Grealish walikokosa mechi hiyo ya raundi ya nne]

Manuel Akanji alitolewa kabla ya mchezo kuanza huku Savinho akitolewa kwa machela kipindi cha pili

Mabao ya Timo Werner na Pape Sarr yakathibitisha kichapo cha kwanza kwa Guadiola msimu huu huku Mhispaniola huyo akikiri matatizo yameongezeka kabla ya mechi ya ligi Jumamosi dhidi ya Bournemouth, ambayo inafuatiwa na Ligi ya Mabingwa dhidi ya Sporting Lisbon

"Tuna wachezaji 13 (waliopo) kwa hivyo tuko kwenye shida sana. Wanaocheza, wanamaliza lakini wengi wao wana matatizo na tutaona jinsi wanavyopona," alisema

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’