Sopu aongeza mwaka Azam Fc

Joel JJ By Joel JJ β€’ 31st October 2024


Sopu aongeza mwaka Azam Fc

Klabu ya Azam Fc imethibitisha kumuongeza mkataba wa mwaka mmoja winga Abdul Suleiman Sopu

Mkataba wa Sopu na Azam Fc ulikuwa umalizike mwishoni mwa msimu huu lakini sasa winga huyo ataendelea kusalia Azam Fc hadi mwaka 2026

Sopu alianza vibaya msimu huu akipata majeraha ambayo yamemuweka nje ya uwanja kwa zaidi ya wiki sita


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.