Mapema wiki hii Bodi ya Ligi Kuu ilitangaza mabadiliko ya uwanja ambao mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc 'Dar es salaam Derby' mchezo huo ukihamishwa kutoka uwanja wa Benjamin Mkapa na kupelekwa Azam Complex sababu ikielezwa ni ukarabati unaoendelea katika dimba la Mkapa
Yanga ambao jana walikuwa Zanzibar kumenyana na Singida Black Stars na kuibuka na ushindi wa bao 1-0,..... download Xtra 90 App



