Local,Normal News,Azam, Yanga

Yanga yatangaza viingilio mchezo dhidi ya Azam Fc

Joel JJ By Joel JJ
β€’
31 Oct 2024
Yanga yatangaza viingilio mchezo dhidi ya Azam Fc

Mapema wiki hii Bodi ya Ligi Kuu ilitangaza mabadiliko ya uwanja ambao mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc 'Dar es salaam Derby' mchezo huo ukihamishwa kutoka uwanja wa Benjamin Mkapa na kupelekwa Azam Complex sababu ikielezwa ni ukarabati unaoendelea katika dimba la Mkapa

Yanga ambao jana walikuwa Zanzibar kumenyana na Singida Black Stars na kuibuka na ushindi wa bao 1-0, wametangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 12 jioni

Mzunguuko ni Tsh 10,000/-, VIP B ni Tsh 30,000/- na VIP A ni Tsh 50,000/-

Baada ya uwanja wa Azam Complex kuwekwa viti, sasa uwanja huo unachukua chini ya mashabiki 7,000

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
48m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’