Local,Normal News,Mashujaa, Simba

Simba yajifua Lake Tanganyika

Joel JJ By Joel JJ
β€’
31 Oct 2024
Simba yajifua Lake Tanganyika

Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wako mkoani Kigoma ambapo leo walikamilisha maandalizi yao ya mwisho katika uwanja wa Lake Tanganyika kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaaa Fc utakaopigwa Ijumaa jioni

Kikosi cha Simba kiliwasili Kigoma majira ya mchana kikipata mapokezi makubwa kutoka kwa mashabiki wao

Na jioni wakatimiza taratibu za kinanuni kwa kufanya mazoezi katika uwanja ambao utatumika hapo kesho

Mashujaa Fc dhidi ya Simba ni mechi kubwa inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka mkoani Kigoma na maeneo ya jirani hapo kesho

Kumekuwa na tambo za kuibuka na ushindi kutoka kila upande lakini mwisho wa tambo hizo ni dakika 90 za mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’