Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imeitoza klabu ya Yanga fainai ya jumla ya Tsh Milioni 12 kutokana na makosa yaliyojitokeza katika mechi zilizopita
Yanga imetozwa faini ya Sh 10 Milioni kwa kosa la kutumia mlango usio rasmi kuingia Uwanjani siku ya mchezo dhidi ya Simba kinyime na kanuni ya 17:62 ya Ligi Kuu kuhusu taratibu za mchezo





