Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) limewatangazia klabu, wapenzi wa soka, na wadau wa mpira wa miguu kuwa Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja na ule wa Gombani uliopo Pemba utafungwa kuanzia Novemba 4, 2024, kupisha ukarabati na maboresho