International,Normal News,Arsenal, Manchester United

Arsenal bado inamtaka Gyokeres

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 Nov 2024
Arsenal bado inamtaka Gyokeres

Mshambuliaji wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres amezidi kuwachanganya mabosi wa Arsenal ambao wanaamini wana nafasi kubwa ya kumsajili baada ya kuondoka kwa kocha Ruben Amorim aliyejiunga na Manchester United

Arsenal ilijaribu kumsajili supastaa huyo katika dirisha lililopita la majira ya kiangazi, lakini ilishindikana na kiliripotiwa kukwamisha dili hilo ni Amorim ambaye alipambana kumshawishi abaki

Staa huyo wa kimataifa wa Sweden katika mkataba wake ana kipengele ambacho kinamruhusu kuondoka ikiwa timu inayomtaka italipa Euro 100 milioni

Timu nyingi barani Ulaya zimevutiwa naye baada ya kiwango bora alichoonyesha tangu msimu uliopita

Katika msimu huu mchezaji huyo amecheza mechi 16 za michuano yote na kufunga mabao 20. Mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika ifikapo 2028.

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
28m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’