Local,Normal News,Prisons, KenGold

Prisons yaichapa KenGold 1-0

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 Nov 2024
Prisons yaichapa KenGold 1-0

Bao la mkwaju wa penti dakika ya 53 lililofungwa na Jumanne Elifadhiili limehitimisha mfululizo wa kupoteza mechi kwa Tanzania Prisons wakipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KenGodl katika mchezo uliopigwa uwanja wa Sokoine

Baada ya kupoteza mechi tatu mfululizo nyumbani, Prisons leo ilikuwa tofauti dhidi ya majirani zao KenGold ambao bado hali yao imeendelea kuwa tete baada ya kipigo hicho

Ushindi huo umeisogeza Tanzania Prisons hadi nafasi ya 12 katika msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 10 huku KenGold wakiendelea kujiweka katika hatari chini kabisa ya msimamo wa ligi

KenGold wamekusanya alama tano tu kutoka mechi 11 walizocheza

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’