Bao la mkwaju wa penti dakika ya 53 lililofungwa na Jumanne Elifadhiili limehitimisha mfululizo wa kupoteza mechi kwa Tanzania Prisons wakipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KenGodl katika mchezo uliopigwa uwanja wa Sokoine
Baada ya kupoteza mechi tatu mfululizo nyumbani, Prisons leo ilikuwa tofauti dhidi ya majirani zao KenGold ambao bado hali yao imeendelea kuwa tete baada ya kipigo..... download Xtra 90 App



