Mlinda lango wa Simba Aishi Manula amesema licha ya kutopata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza, anashirikiana vyema na wenzake katika kuhakikisha timu inafikia malengo ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu
Jana Manula aliiongoza timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa wachezaji wa ndani katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za CHAN 2025 Tanzania ikipoteza kwa mikwaju ya..... download Xtra 90 App



