Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Ghana Michael Essien amefuzu mafunzo ya ukocha akipata leseni ya UEFA
Hii ni awamu ya pili ya maisha yake ya soka baada ya kutamba akiwa mchezaji
Uamuzi wa nyota huyo wa zamani kuingia katika ukocha unaonyesha kujitolea kwake katika mchezo huo na kumpa nafasi ya kuhamasisha kizazi kijacho cha wachezaji
Kwa sasa ni sehemu ya benchi la ufundi la klabu ya Nordsjaeliglland ya Superliga ya Denmark



