Mshambuliaji wa Pamba Jiji George Mpole amesema licha ya kipindi kigumu ambacho timu hiyo inapitia, watarejea katika ubora na kufanya vizuri katika mechi zilizosalia ligi kuu ya NBC msimu huu
Pamba Jiji inashika nafasi ya 15 katika ligi kuu ya NBC ikikusanya alama 5 kutoka mechi 10
Pamba Jiji ambayo sasa inanolewa na Kocha Freddy Felix Minziro haijashinda mchezo wowote msimu..... download Xtra 90 App



