Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba dhidi ya KMC ambao ulipaswa kupigwa leo katika uwanja wa KMC Complex, ulisogezwa mbele kwa siku moja na sasa utapigwa kesho Jumatano, katika uwanja huo
Bodi ya ligi ilitaja sababu ya mabadiliko hayo ni muingiliano wa ratiba ya mechi za ligi ya Wanawake ambapo leo uwanja wa KMC itachezwa mechi kati ya Yanga Princess dhidi ya Mashujaa..... download Xtra 90 App



