Local,Normal News,Simba, KMC

Simba yatangaza viingilio mchezo dhidi ya KMC

Joel JJ By Joel JJ
β€’
5 Nov 2024
Simba yatangaza viingilio mchezo dhidi ya KMC

Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba dhidi ya KMC ambao ulipaswa kupigwa leo katika uwanja wa KMC Complex, ulisogezwa mbele kwa siku moja na sasa utapigwa kesho Jumatano, katika uwanja huo

Bodi ya ligi ilitaja sababu ya mabadiliko hayo ni muingiliano wa ratiba ya mechi za ligi ya Wanawake ambapo leo uwanja wa KMC itachezwa mechi kati ya Yanga Princess dhidi ya Mashujaa Queens

Simba imetangaza viingilio vya mchezo dhidi ya KMC, ambao ni Derby itakayokutanisha timu mbili zinzotumia uwanja wa KMC Complex kama uwanja wao wa nyumbani msimu huu

VIP ni Tsh 20,000/- na Mzunguuko ni Tsh 10,000/-. Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali ametamba kuwa wanakwenda kubeba alama zote tatu mbele ya KMC siku ya Jumatano huku akiwataka mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo huo

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’