Ugomvi baina ya staa wa Real Madrid, Kylian Mbappe na rais wa Paris Saint-Germain, Nasser Al-Khelaifi unadaiwa kuwa bado unaendelea huku moja ya sababu ni kile ambacho rais huyo alifanya kwa mdogo wake Mbappe
Al-Khelaifi na Mbappe walikuwa na panda shuka nyingi kwa msimu uliopita baada ya staa huyo kugoma kusaini mkataba mpya na kuwaambia kuwa ataondoka, jambo ambalo lilimkera tajiri huyo..... download Xtra 90 App



