AC Milan imepata ushindi wa kihistoria dhidi ya Real Madrid Uwanja wa Santiago Bernabeu katika mechi ya UEFA Champions League Jumanne usiku
The Rossoneri waliwafunga wababe hao wa Uhispania 1-3. Kikosi cha Fonseca kiliibuka kidedea kwa kupata pointi tatu za thamani ugenini kwa mabao ya Malick Thiaw, Alvaro Morata na Tijjani Reijnders.
Morata, mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid..... download Xtra 90 App



