Vigogo waliowahi kushika nyadhifa mbalimbali kwenye timu za Simba na Yanga kwa nyakati tofauti wametangazwa na Singida Black Stars kuwa katika Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo
Viongozi hao waliowahi kuongoza Yanga na sasa wako Singida ni pamoja na Omary Kaya ambaye ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi
Kabla ya kujiunga na Singida Black Stars, Kaya alikuwa mtendaji mkuu wa..... download Xtra 90 App



