Local,Normal News,Yanga, Tabora

Yanga yaipania Tabora United

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Nov 2024
Yanga yaipania Tabora United

Baada ya kipigo kutoka kwa Azam Fc, mabingwa watetezi ligi kuu ya NBC Yanga kesho Alhamisi watashuka uwanja wa Azam Complex kumenyana na Tabora katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe ametamba kuwa watakwenda kuikabili Tabora United wakiwa na dhamira moja tu, kurejea katika mwenendo wao wa ushindi

Kamwe amesema anafahamu kupoteza kwa Yanga mchezo uliopita kulipelekea furaha kwa watu wengi ambao hawaitakii mema Yanga, kesho watakwenda kuwapa tabasamu mashabiki wao

"Najua watu wengi ambao hawatutakii mema walifurahi sana baada ya sisi kupoteza dhidi ya Azam Fc. Nawaambia mashabiki wa Yanga waje kwa wingi Azam Complex kesho hii ni siku ya kuirejesha furaha Jangwani," alisema Kamwe

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 12 jioni

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’