International,Normal News,Real Madrid, France

Mbappe hataki kucheza namba 9 Real Madrid

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Nov 2024
Mbappe hataki kucheza namba 9 Real Madrid

Ripoti ya vyombo vya habari vya Uhispania imedai kwamba nyota wa Real Madrid Kylian Mbappe hataki kucheza kama mshambuliaji wa kati katika klabu ya Real Madrid

Kulingana na gazeti la Uhispania la 'Sport', Mbappe amechoshwa kucheza kama mshambuliaji

Chanzo hicho kiliongeza kuwa nyota huyo wa Ufaransa anataka kucheza kama winga wa kushoto badala ya Vinicius Junior

Chanzo hicho kilihitimisha kuwa Mbappe anaamini kushuka kwa kiwango chake kunatokana na kucheza katika nafasi ya mshambuliaji wa moja kwa moja eneo ambalo hakuzoea kucheza kabla

Wakati yuko PSG Mbappe alifunga mabao mengi akitokea pembeni kama winga na amekuwa akifanya hivyo hata anapokuwa na timu ya Taifa ya Ufaransa

Hata hivyo katika klabu ya Real Madrid, kocha Carlo Ancelotti hupendelea kumtumia Vini Jr katika nafasi hiyo kwani amekuwa akifanya vizuri zaidi

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’