Ripoti ya vyombo vya habari vya Uhispania imedai kwamba nyota wa Real Madrid Kylian Mbappe hataki kucheza kama mshambuliaji wa kati katika klabu ya Real Madrid
Kulingana na gazeti la Uhispania la 'Sport', Mbappe amechoshwa kucheza kama mshambuliaji
Chanzo hicho kiliongeza kuwa nyota huyo wa Ufaransa anataka kucheza kama winga wa kushoto badala ya Vinicius Junior





