Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' chini ya Kaimu Kocha Mkuu Suleiman Morocco na benchi lake la ufundi, inajifua katika uwanja wa KMC kujiandaa na mechi mbili za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2025 zitakazofanyika mwakani huko Morocco
..... download Xtra 90 App



